Harusi Trade Fair is Here!!

Do not miss Diamond Jubilee leo ijumaa, Jumamosi na Jumapili hii... kiingilio Bure... kila bibi harusi na bwana harusi au mdau wa harusi pitia uone vitu mbalimbali vya harusi vya kila aina...kuanzia mahotel, cards, dresses, wapiga picha etc

Banda letu la Wedding Bells limetengenezwa na kupambwa vizuriiiiii na Dada Monica.. aka Special occasions... 

 wapambaji wa kistaaraabu na keki tamu zaidi na za kistaarabu zaidi in Dar

baadhi ya kazi zao ni pamoja na Melissa and Harris Wedding- Keki na mapambo: Venue Moven Pick




Martha Nnko and Joseph Wedding



Gladys Wedding- cake


Gladys wedding ilipambwa na Sophy nitawawekea aina zake na mapambo yake soon...pia ni wedding planner




Stella and Eliud's Cake

Wanapatikana mjini NSSF building opposite CBE pia branch yao nyingine Kimweri Avenue Msasani kama unaelekea CCBRT
Wapigie Simu -Special Occassion's namba 0754 404 733

Related Posts:

  • Waliokatiza banda la Wedding BellsNi pamoja na Ilala mayor Jerry Slaa.......tukiangalia jinsi picha za Nargis na za Dorice zilivyopendeza..Minister of information, Youth, Culture and Sports Dr Emmanuel Nchimbi nae akiangalia picha ya Jeniffer and Je… Read More
  • Harusi Trade Fair is Here!!Do not miss Diamond Jubilee leo ijumaa, Jumamosi na Jumapili hii... kiingilio Bure... kila bibi harusi na bwana harusi au mdau wa harusi pitia uone vitu mbalimbali vya harusi vya kila aina...kuanzia mahotel, cards, dresses, w… Read More
  • Final Day at Harusi trade Fair!!We thank God it is final day at Harusi Trade Fair.... Our banda TodayMy girls: Eunice and Eliza...Mama Wedding Bells....sample dresses... mazagazaga ya harusi kutoka Special Occasionskibox cha kuwekea mkono wa ponge… Read More
  • Harusi Trade Fair 2012- Wedding Bells CollectionThis year Collection we gave it the name of Glamorous!!Wedding Bells- Glamorous CollectionApril New Arrivals IN store Today- Do not miss......the fashion show was opened by pretty Sinta... ...total glamour! ...a raf… Read More

0 comments:

Post a Comment